Latest News

  • Mei 22, 2024
  • Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu kwa ufadhili wa African Women Development Fund (AWDF) umeandaa mkutano wa siku mbili wadau wa haki za binadamu wafanya maamuzi na mashirika ya utetezi wa haki za binadamu kujadili na kushauriana fursa zilizopo za uwepo wa mazingira salama ya wanawake watetezi wa haki za binadamu.
    Read More

  • April 9, 2024
  • Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu tumefanya kikao na watumishi wa Serikali wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Idara ya Maendeleo ya jamii kuona namna ya kuimarisha mifumo ya kuwezesha mazingira salama ya Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu hapa nchini.
    Read More

  • March 08, 2024
  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
    Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (CWHRD) kwa kushirikiana na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) hii leo umeungana na wanawake watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania kuadhimisha Sikukuu ya Wanawake Duniani.
    Read More

  • March 06, 2024
  • Wanawake tumekuwa na mchango mkubwa sana kuhakikisha kunakuwa na ulinzi wa haki za Binadamu Tanzania. Tunahamasisha uzingatiwaji wa haki za hizo ili kuondoa vurugu na kuhamasisha amani, hii ni kutokana na kushuhudiwa kwa vitendo vya uvunjwaji wa haki hizo katika nchi za wenzetu kunakopelekea wanawake na watoto kupata shida na hata kupelekea nchi hizo kukosa maendeleo. Hivyo tumekuwa tukihamasisha uzingatiwaji wa haki ili kuipa serikali yetu nafasi ya kuzingatia maswala ya maendeleo yatakayomkomboa mwanamke na nchi kwa ujumla. Hilda Stuart, Mkurugenzi CWHRD

  • November 29, 2023
  • CWHRDs Tz has Launched a Report on mapping and Analysis of Women Human Rights Defenders in Tanzania 2022 - 2023 During the celebration of the International Day of Women human Rights Defenders. The REPORTwas launched by the Swiss Ambassador to Tanzania Mr.Didier Chassot.

  • November 24, 2023
  • The workshop we have increased the participants' understanding of feminist advocacy to align with the WHRDs agenda setting, to strengthen the capacity of the Board of Directors and the secretariat on how to use the feminist agenda in their program agenda based on advocacy, communication.

    Read More

  • October 21, 2023
  • CWHRDs TZ as the secretariat of the Eastern Women Human Rights Defenders ...

    Read More

  • October 19, 2023
  • In a reflection of the 25th of the UN Declaration of Human Rights Defenders side lined in the NGOs Forum..

    Read More

  • October 18, 2023
  • On a side event during the 77th Session of ACHPR in Arusha, CWHRDs Tz National Coordinator, Hilda Stuart Dadu ....

    Read More

  • October 17, 2023
  • In the ongoing NGOs Forum in line with the 77th Ordinary session of ACPHR, the National Coordinator of the Coalition ...

    Read More

  • October 13, 2023
  • CWHRDs Tz Programme Manager is one of participants of Training of Trainers on Participation and Engagement with .....

    Read More

  • October 12, 2023
  • Cwhrds Tz is thrilled to be among the organizations implementing the project of women in peace in Kilwa District.

    Read More

  • October 03, 2023
  • Mtandao wa Wanawake Watetezi wa haki za Binadamu Tanzania tumeweza kushiriki katika Jukwaa la Mashirika yasiyo ya kiserikali yanayofanyika Makao Makuu ya nchi Mkoani Dodoma kuanzia tarehe 3 hadi 5 mwezi wa 10. Mwaka 2023.

    Read More

  • July 21, 2023
  • Kila Ijumaa Wanawake Watetezi tunakutana kuelimishana kuhusu katiba. Wiki hii tutaongelea historia ya Katiba na Mchakato mzima wa upatikanaji wa katiba ili kujikumbusha katika utendaji wetu wa kukuza, kulinda na kuzitetea haki za binadamu.

  • July 21, 2023
  • Last week, CWHRDs TZ participated in a planning and implementation meeting of the collaborative project on Women and Peace (Mwanamke na Amani) with @cyd_zanzibar and other CSOs in Tanzania Mainland and Zanzibar under @Sisterswithoughtboarders peace program supported by @Unitedstatepeaceinstitute (USPI). This project aims to capacitate women to take leadership in peace building and conflict resolutions in Districts of Kilwa, Bagamoyo and Kisarawe.

  • June 9, 2023
  • CWHRDs Tz wakiwa katika Kikao cha kuwapitisha Wanachama wa CWHRDs Tz na Wadau wengine kwenye Ripoti ya Matukio ya Ukatili wa Kingono baina ya Ndugu wa damu.

    Read More

  • June 8, 2023
  • CWHRDs Tz in a working session to review the Report of Incest and Rape cases related to SRHR. This report is based on information collected from some regions in April and May 2023.

    Read More

  • Jan 24, 2023
  • TZ Board of Directors and Secretariat participate in a four-day capacity building on financial Management,Personnel and Equipment in Bagamoyo from 24th to 27th January 2023.

    Read More

    CWHRDs Tz wakiwa katika kikao kazi cha kupitia ripoti ya hali ya Wanawake Watetezi Tanzania. Ripoti ya tathmini iliyofanyika kati ya mwezi Septemba na Novemba 2022 ni muhimu kwa kazi za utetezi wa Mtandao na mashirika wanachama.

    Read More

  • Jan 24, 2023
  • Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania wanafanya Warsha ya kuwajengea uwezo Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Wilaya ya Bagamoyo juu ya uwekaji kumbukumbu ya Matukio ya Ukatili wa Kijinsia unaohusiana na mabadiliko ya tabia Nchi na kupitia Mfano wa Sheria Ndogo Ndogo ya Mabadiliko ya Tabia Nchi na athari zake za Ukatili wa Kijinsia.

    Read More

  • Dec 10, 2022
  • claiming spaces-2022.

    Read More

  • Nov 29, 2022
  • International Women Human Rights Defenders Day.

    Read More

  • Nov 25, 2022
  • 16 Days of Activism.

    Read More

  • Aug 04, 2022
  • Why do we need Women Human Rights Defenders ?

    Read More

  • CWHRDs Tz conducted capacity building to CSOs and WHRDs..

    Read More

  • CWHRDs Tz launched its first Strategic Plan

    Read More

    SRHR dialogue

  • March 26, 2022
  • CWHRDs Tz conducted SRHR to WHRDs.

    Read More

    International Women Day 2022

  • March 15, 2022
  • CWHRDs Tz celebrated International Women Day in Tanga....

    Read More

    Muhanga wa ukatili wa kijinsia

  • March 03, 2022
  • Mtandao watoa pesa za kujikimu kwa muhanga wa ukatili wa kijinsia.

    Read More

    National Dialogue

  • Feb 11, 2022
  • CWHRDs Conducted a National Dialogue on Women's Rights, GBV and Brutal Kilings.

    Read More

    Kulaani Mauaji

  • Jan 13, 2022
  • Mtandao umelaani mauaji ya wanawake na watoto yanayoendela hapa nchini.

    Read More

    Members

    54

    Members Registered

    Cases Litigation

    2

    Cases Intervened

    Projects

    2

    Projects Completed

    Copyright © CWHRDs-Tanzania