Statements

TAMKO LA KULAANI KITENDO CHA UONGOZI NCCR MAGEUZI KUMTAKA KATIBU MKUU AJIUZULU

Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu (CWHRDs) umepokea kwa masikitiko taarifa ya Bi Martha R. Chiomba, Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR MAGEUZI kutakiwa kujiuzulu kwa lazima...... (pakua tamko)

Tamko la kulaani mauaji yanayoendelea hapa nchini.

Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania umetoa rai kwa umma juu ya mauaji ya kutisha ya wanawake yanayotokana na mahusiano ya wanandoa, wapenzi ama watoto wao... (pakua tamko)

Tamko la kulaani kupigwa kwa wanawake wabunge wa chadema,

Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu pamoja na Mtandao wa Kupinga Ukatili wa Kinjinsia sambamba na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu kwa pamoja wamelaani vikali kupigwa kwa wabunge wanawake wa chama cha CHADEMA.... (pakua tamko)

Tamko la kulaani vurugu dhidi ya wanawake kwenye uchaguzi mkuu wa octoba 2020

Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu unalaani vikali vitendo vya vurugu dhidi ya wanawake kwenye uchaguzi mkuu wa 2020. Kumekuwepo na matukio ya uvunjifu wa haki za wanawake kunakopelekea kutokuwa na usawa kwenye uchaguzi mkuu

Members

66

Members Registered

Litigation

2

Cases Intervened

Projects

2

Projects Completed

Flag Counter

Copyright © CWHRDs-Tanzania