Mon - Fri : 09:00 - 17:00
Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu umewakutanisha wanachama wake kujadili ukatili wa jinsia wakati wa mlipuko wa janga la UVIKO-19. Mbali na kujadili ukatili wa kijinsia, wanachama walipata saa wa kutengeneza jumbe mbali mbali za madhara yatokanayo na ukatili wa kijinsia kipindi cha UVIKO 19.
Members Registered
Cases Intervened
Projects Completed