Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM)

Mtandao wafanya Mkutano Mkuu wa Pili

Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (CWHRDs Tz) umefanikiwa kufanya mkutano wake mkuu wa pili wa mwaka 2022, Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Hotel ya Four Pints by Shelaton zamani ikijulikana kama New Africa Hotel.

Katika mkutano huo ulihudhuliwa na wanachama mbali mbali kutoka mikoani, Zanziba, na Dar es salam, ulikuwa na ajenda zifuatazo;

1. Kufungua kikao

2. Kusoma na kupitisha ajenda za mkutano mkuu

3. Kupokea na kupitishwa kwa ripoti kutoka kwa Bodi ya Wakurugenzi kwa mwaka wa 2021

4. Kupokea na kupitishwa kwa hesabu zilizokaguliwa za mwaka wa 2021

5. Kuchagua Mkaguzi wa mahesabu kwa mwaka 2022

6. Kupokea ripoti ya kamati ya uanachama 2021

7. Uchaguzi wa bodi ya wakurugenzi

8. Mengineyo

9. Kufunga mkutano

Mjumbe wa Board ya Wakurugenzi ya Mtandao Bi Rose Ugulumu akisoma ripoti ya fedha ya mwaka 2021 ya Mtandao (CWHRDs Tz)

Members

66

Members Registered

Litigation

4

Cases Intervened

Projects

2

Projects Completed

Copyright © CWHRDs-Tanzania