Mon - Fri : 09:00 - 17:00
Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu ulizinduliwa tarehe 29 Novemba 2019 na mgeni rasimi Msajili wa Mashirika yasiyo ya kiserikali ndg Vickness Mihayo. Katika uzindunzi huo ulienda sambamba na maadhimisho ya siku ya wanawake watetezi duniani.
Members Registered
Cases Intervened
Projects Completed