IWHRD Day 2021

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Duniani

Katika kuadhimisha siku ya Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Duniani 29 Novemba 2021, Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (CWHRDs- Tanzania) kwa kushirikiana na Women Fund Tanzania (WFT), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Ofisi ya Umoja wa Mataifa Kamisheni ya Haki za Binadamu Afrika Mashariki (UN OHCHR AERO) kwa pamoja tuliwakutanisha wadau mbalimbali wa haki za binadamu ikiwemo Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora,Ofisi ya Msajiri wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali, Mashirika yanayotetea haki za binadamu pamoja na wanachama wa Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu kujadili changamoto wanazokumbana nazo watetezi wa haki za binadamu wanawake na namna bora ya kukabiriana nazo. Sambamba na hilo, Mtandao uliwatunuku tuzo wanawake vinara watetezi wa haki za binadamu.

Wanawake watetezi vinara kwa mwaka 2019 wakionyesha tuzo zao walizotunukiwa

Members

66

Members Registered

Litigation

2

Cases Intervened

Projects

2

Projects Completed

Flag Counter

Copyright © CWHRDs-Tanzania