Annual NGos Forum

Mtandao wa Wanawake Watetezi wa haki za Binadamu Tanzania tumeweza kushiriki katika Jukwaa la Mashirika yasiyo ya kiserikali yanayofanyika Makao Makuu ya nchi Mkoani Dodoma kuanzia tarehe 3 hadi 5 mwezi wa 10. Mwaka 2023. Jukwaa la Mashrika yasiyo kuwa ya Kiserikali limetambua umuhimu wa mchango wa mashirika ya kiserikali katika ustawi na Maendeleo ya Watanzani. Mchango wa haki za binadamu katika kukuza amani na ustawi wa Jamii. Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu tumewakilishwa na Mratibu wa Kitaifa Bi Hilda Stuart Dadu pamoja na baadhi ya wanachama wa Matandao huu.

Members

66

Members Registered

Litigation

2

Cases Intervened

Projects

2

Projects Completed

Copyright © CWHRDs-Tanzania