Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (CWHRDs Tz) umefanikiwa kufanya mkutano wake mkuu wa nne wa mwaka 2024, Mkutano huo ulifanyika katika Ofisi ya Mtandao wa Mwanawake Watetezi wa haki za binadamu Tanzania Kijitonyama.
Katika mkutano huo ulihudhuliwa na wanachama mbali mbali kutoka mikoani, Zanziba, na Dar es salam, ulikuwa na ajenda zifuatazo;
1. Kufungua kikao
2. Kusoma na kupitisha ajenda za mkutano mkuu
3. Kupokea na kupitishwa kwa ripoti kutoka kwa Bodi ya Wakurugenzi kwa mwaka wa 20223
4. Kupokea na kupitishwa kwa hesabu zilizokaguliwa za mwaka wa 2023
5. Kuchagua Mkaguzi wa mahesabu kwa mwaka 2024
6. Kupokea ripoti ya kamati ya uanachama 2023
7. Mengineyo
8. Tarehe ya Mkutano Mkuu ujao wa Mwaka
9. Kufunga mkutano
Download Annual General Meeting Report - 2023
Members Registered
Cases Intervened
Projects Completed
Copyright © CWHRDs-Tanzania